Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIBAMBA SHULE
——
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE SEC. #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet na stoo
Kodi 300,000 × 6
Zipo apartment 3 kila apartment Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Umbali km 3 kutoka magufuri stand, usafiri boda boda 1500
Kupelekwa kuona nyumba elf 20
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















