Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 200,000/=x4
KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
======
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 AU BODA ELFU 1500
.
======
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE YA KWAKO MWENYEWE
.
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE HAKUNA GARI INAFIKA MPKA GETIN
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
=======
.
CONTACT
0683234124
0718367179