Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: Dakika 15 Kwa Kutembea Tu 🚶
Usafiri 24Hours Boda 1000
KODI 350,000 × 6
📍Sebule Kubwa
📍Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
📍Vyumba Vyote Ni Master Bedroom
📍Jiko Kubwa Zuri
📍Inajitegemea Umeme Na Maji
📍Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
📍Reserve Tank
📍Fenced
📍Parking IPO 🚘
📍Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp