Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


.
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/=×6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/=×6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
NOTE:- ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Contact
0769138053
Follow
swahili_used_items
furaha_ya_wakongwe