Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐๏ธAPARTMENT NZURI SANA, ZA KISASA MPYA KABISA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅKODI YAKE 300K X6
HAPA ZIPO 2, UPANDE WA JUU,
NA UPANDE WA CHINI,,
NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU, UMEME NA MAJI SAFI DAWASA..
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K.
YA JUU NDIYO IPO WAZI ๐
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA ๐