Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#NEW APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara korgwe
🕓Km 1 Kutoka stand ya mwendo kasi usafili bajaji 500 ukishuka dakika 5 bodaboda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko & Danning
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking & parving brock
👉Zipo 3 Hapa, na zinakuwa zimekamilika ndani ya siku 7 ukilipia nyumba ni mpya mafundi wapo kazini
🔸Kodi Tsh 500, 000/=x6(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 500,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
0712528820
0685221354
&Whatsapp
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😁