Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 🚶🚶
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Hakuna Master Hapa❌❌
Seble Kubwa
Jiko Kubwa [ OPEN kitchen)
Public Toilet Nzuri 🚻
Maji Ndani 24HRS
Luku Yako
Tires, Gypsum Na Slide Windows
CCTV Cameras 📷
Mlinzi Kampuni 24HRS
Ndani Ya Fence
Parking Space Kubwa Sana
---------
Service Charge 15,000
KODI 350,000 × 3
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
NAFAULISHA NDUGU MTEJA 🏃♀️🏃♂️💰😂
CONTACT US:-
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp