Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700,Boda 1000
Price: 300,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✔️Umeme LUKU Yako
✔️MAJI Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced
✔️Parking IPO 🚘
✔️Good Environment 👍
Barabara Ni Nzuri Kwa Aina Zote Za Magari 🚗
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp