Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700
Price: 400,000
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Kitchen With Cabinets
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
>Inajitegemea UMEME Na MAJI
>Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
>Reserve TANKS
>CCTV Cameras 📷
>Parking Space Available 🚗
>Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp