Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐จ๐ฅ#APARTMENT INAPANGISHWA
โโโโโ
PIGA SIMU 0755831740
๐Kimara korogwe
๐Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1.8 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 3 upo ndani boda boda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
๐ฒVyumba Viwili vya kulala kimoja master
๐ฒSebule
๐ฒJiko
๐ฒPublic Toilet Ya ndani
๐ฒUmeme Luku Yake
๐ฒMaji meter yake na yanaflow ndani
๐ฒFensi & Parking ipo Kubwa
๐ Mazingira mazuri sana Usalama wa kutosha hakuna uswahili hapa
๐ทKodi Tsh 300, 000/= miezi 6
๐ทMalipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
๐ทService Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐