Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT MPYAA KABISA INAPANGISHWA 500K
KODI NI LAKI TANO MALIPO YA MWAKA MMOJA
NYUMBA HIZI NZURI ZIPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA DK 3 KWA MIGUU
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO ZURI LINAFUNGWA MAKABATI
✅️DINNING ROOM
✅️PUBLIC TOILET YA NDANI
✅️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✅️NDANI YA FENCE
✅️PARKING SPACE KUBWA
✅️FULL PAVING BLOCK SAFI 🚫
✅️UMEME UNAJITEGEMEA
✅️MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp