Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
===========
IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEXI
=============
UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU TOKA KITUO CHA MWENDOKAS
=============
SIFA ZAKE
#######
VYUMBA VIWILI
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
CHOO NDAN
aina master
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
PARKING IPO KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
PERVING BLOCK SAFI
==============
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE
===============
.
BAADA YA IYO MIEZI 4 KUISHA UTAANZA KULIPIA MIEZI SITA
==============
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
================
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347