Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT KABISA ZA KUPANGA ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA DK 6 TUU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
KIDI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6 NAKUENDELEA
SIFA ZAKE
#######
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE JIKO NA CHOO NDAN PUBLIC.aina mastar
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI
IPO NDAN YA FENSI PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI PERVING BLOCK SAFI BRBR NAYO IPO VIZURI SANA HATA KWA WALE WENYE MAGARI YA CHINI
Contact 📲
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343