Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Zipo 2 Kwenye Fence
KODI 450,000 ร 6
Location: KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK 10 KUTEMBEA KWA MIGUU ๐ถ๐ถ
>SEBULE KUBWA SANA
>VYUMBA VIWILI VYA KULALA
>CHUMBA KIMOJA MASTER
>JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
>STORE KUBWA
>PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI ๐ป
>TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
>NDANI YA FENCE
>PARKING SPACE KUBWA
>FULL GARDEN
>FULL PAVING BLOCKS
>UMEME LUKU YAKO
>MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
๐NYUMBA HII INAFANYIWA MAREKEBISHO UPYA KWA NDANI PAMOJA NA KURUDIWA RANGI KOTE ๐
๐CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐ฐโ๏ธ
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp