Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 7-10 Kwa Kutembea Tu ๐ถ๐ถ
KODI 400,000 ร 6
Sebule Kubwa Sana
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri ๐ป
Inajitegemea UMEME Na MAJI
Yanaflow Ndani 24HRS
Reserve Tank
Ipo Kwenye Fence
Parking IPO KUBWA
Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp