Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
#MBEZI_MWISHO
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 5 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI
UMBALI KM 1.5 PIKIPIKI SH 1000
BEI NI 300,000/=×6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343