Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#0710614924
#0688653940