Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kivule, Dar Es Salaam
New apartment zinapangishwa
Location kivule sokoni
bei tsh 350000
vyumba viwili
master bedroom #1
sitting room
kitchen
Public toilet
Umeme maji unajitegemea
ndani ya fens wapangaji wawili
perving block safi
Security fens
nyumba mpya kabisa
Contact 0788156493 0614130017 0760053111
Service charge 20000