Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO MADALE JIRANI NA SHULE YA ATRASI BEI NI 350,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
#PARKING KUBWA ZA KUTOSHA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI MPYA ZIPO MADALE JIRANI NA SHULE YA ATRASI NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥 MAFUNDI WAPO SITE MUDA WOTE WANAWEKA PAVING NA FINISHING NDOGO NDOGO
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37