Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam







*VIWANJA... VIWANJA... VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA MADALE (MBOPO ROAD)*
_ *BEI NI ELFU 42 TU 42,000 KWA KILA SQM 1*
_ *UKUBWA NI KUANZIA SQM 1000 KWENDA JUU*
_ Umbali wa Km 1.7 Kutoka MADALE MWISHO CENTER
_ Boda ni 1000 TU MPAKA VIWANJANI
_ Viwanja Vimebaki 8 TU
_ Eneo Limepimwa na Kurasimishwa Kwa Ajili ya Makazi na Biashara
_ Viwanja viko Meter 50 tu kutoka Barabara Kuu ya MADALE to MBOPO Inayopigwa LAMI
_ *UMEME NA MAJI VIPO SITE HAPOHAPO*
_ Eneo ni Potential Kwa Makazi Binafsi, Apartments za Wapangaji, Nyumba ya Wageni, Frame za Biashara, Ukumbi wa Sherehe NK...
0713 636000
*SURVEY CHARGE NI ELFU 30*