Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 5 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi magengeni location selikali ya mtaa kwa chale, Apartment ina rooms 2 vyakulala sitting room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, fensi ya parking ipo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.