Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿New Apartment Classic For Rent
Location: MBEZI MWISHO ZONE
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Kwa Kutembea Dk 15 Tu 🚶🚶
KODI 450,000 × 6
#Sebule Kubwa
#Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
#Chumba Kimoja Master
#Jiko Kubwa la Kisasa
#Public Toilet Nzuri 🚻
#Inajitegemea UMEME
#Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
#Reserve TANKS
#Tires,Gypsum Na Slide Windows
#Fenced
#Full Paving Blocks 🚫
#Parking Space Kubwa 🚘
#Good Environment 👍
📌BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 🚘
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp
#USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA BOSS ☎️