Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
Location: MBEZI KWA MSUGURI
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700
KODI 300,000 × 3/4
🥕SEBULE KUBWA SANA
🥕VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
🥕VYUMBA VYOTE MASTER
🥕JIKO ZURI LENYE MAKABATI
🥕PUBLIC TOILET NDANI 🚻
🥕UMEME LUKU YAKO
🥕MAJI YA BILL DAWASA
🥕IPO NDANI YA FENCE
🥕PARKING SPACE KUBWA 🚗
🥕UWANJANI PAVING BLOCKS 🚫
🥕GOOD ENVIRONMENT 👍
#0785889413🔥🔥