Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
PRICE: 350,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA SANA
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️PARKING KUBWA SANA 🚗
📌ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
DISTANCE: KM 1.8 KUTOKA MOROGORO Road
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp