Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
500,000 x6. 0759151524 kwamsuguli wai sasa
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI #500k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na
public toilet nje
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
Umbali wa Dakika 15 kwa miguu
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Haina fence ila parking IPO usalama upooooo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679 956 863
0759151524