Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOE KITUO KWA ASENGA
KODI 300,000X6
UMBALI KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
DALA DALA 700
SIFA YA NYUMBA
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA DINNING JIKO KUBWA SANA FULL MAKABATI
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO NA MAJI YAPO YANA FLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NDUGU MTEJA BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
0713320608
0686334182