Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI #500k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na
public toilet ndani
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
Umbali wa Dakika 15 kwa miguu
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndaniya fence ila parking kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Sina cheni namaliza pambano
Nimemshusha miezi mwenye nyumba kimbia kama unamteja wai chapu usilaze dam
#0710614924
#0688653940