Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(400,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗨𝗚𝗨𝗥𝗜
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= × 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/01/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300