Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI #500k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko zuri kubwa na public toilet
Kodi ni 500,000/=×6
Umbali wa Dakika 15 kwa miguu kutoka Morogoro Road
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndani ya fensi na parking ya kutosha
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
Contact
0742260844
0657384670