Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Segerea, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa
2 Bed Rooms,Zote,SelfvContained
Sebule
Jiko
Luku Ya kujitegemea
Maji,Dawasa
Ndani ya fensi
Kodi ni tzs,300,000/-
Malipo ni kuanzia,Miezi 4-6
Location-Segerea