Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KABISA ZINAPANGISHWA 400K X6
ILIPWE LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE DK 3 KUTOKA STEND BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA WAGENI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI YAKO YANAFLOW NDANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347