Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo External Dakika 3 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 35000 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 2 vya Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Tiles
Gypsum
Nyumba ipo Jirani na Barabara
Good environment
0712500602
0755336565