Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 3 Kwenye Fence
KODI 400,000 × 6
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Distance: Few Minutes From Main Road 🚶 🚶
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Jiko Kubwa Zuri
✅️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✅️Balcony
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Good Environment 👍
CONTACT US
0688 067 289 📞