Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
Location: KIMARA SUKA
Distance: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
Price: 500,000
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
✅️Jiko Kubwa lenye Makabati
✅️Public Toilet Nzuri Ndani 🚻
✅️Heater Ya MAJI
✅️Reserve Tank (DAWASA)
Apartment Zipo Ndani Ya Fence Parking Ipo Na Kila Apartment Inajitegemea LUKU Na Meter Ya MAJI Dawasa
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp