Kiwanja kinauzwa Boma, Iringa
Boma Linauzwa Bagamoyo
Location: Kitopeni
______
Kiwanja akijapimwa
Ukubwa wa kiwanja 20×20
______
Boma lina Patisheni tatu, Chumba sebule choo ndani, chumba sebule choo ndani, chumba sebule choo ndani ×3
______
Boma lina angalia barabara ya mtaa
Boma lipo mita 700 kutoka barabara kubwa ya lami
______
Document: Hati ya mauziano ya serikali za mitaa
______
Service chaji elfu 20
Bei milioni 18
______
Site visit ni kila siku unapopata muda tu piga simu utapelekwa site
______
Nipigie simu 0687627903
Whatsapp. 0687627903