Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA IPO GOBA KWA AWAZI
BEI: INAANZIA MILLION 650
UMILIKI: INA HATI YA KISASA, KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE METERS 1500
TAARIFA ZA NYUMBA
◇ Nyumba imekamilika ina Vyumba Vitano vyote master
◇Ina finishing safi
◇Sitting room
◇Dinning room
◇Kitchen
◇Public toilet
◇ Imefungwa cctv camera
◇ Kila chumba kina air-condition
◇Ina maji na kisima cha kuchimba
◇Ina Nyumba ndogo ya Nyuma
◇Ina fensi
◇ Ina swimming pool
◇ Ina umeme
◇ Ina parking ya kutosha
◇ Ina Garden
For more information Tupigie 📞 0768 007 315 au 0673 200 848
Karibu njoo tuzungumze