Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
Eneo: Goba Kontena
Umbali kutoka lami Meter 400
-Nyumba inahitaji marekebisho ina vyumba vinne vya kulala, kimoja master, dinning room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqm 2,367
-Kiwanja kimepimwa hati bado.
📌Bei shilingi milioni 150 maongezi yapo.