Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
👉#ENEO_LINAUZWA*
👉#Location Kibaha mji
👉#Mtaa *Bokotemboni...Baada ya Hospital ya Rufaa ya Mkoa (Tumbi)
👉#Eneo ni la biashara kwani lipo kwenye barabara kuu
👉#Eneo limedesgniwa raman ya bar na lodge
👉#Bar ilishajengwa na inafanya kazi ni bar nzuri na ya kisasa
👉#Lodge imejengwa vyumba viwili tu (Masters) kwasasa wanaishi wahudumu wa bar na vimejengwa kwa kufuata raman ya lodge ya eneo
👉#Store imejengwa ipo kwaajili ya vinywaji na vitu vingine
👉#Jiko limejenga na linavifaa vyote jiko la kisasa na linafanya kazi
👉#Vyoo vipo vya kisasa
👉#Paved parking
👉#Eneo limepimwa
👉#Ukubwa wa eneo ni robo eka (sqm 1000)
👉#Pia eneo linafaa kwa matumizi ya sheli (Ukibadili matumizi)
👉Bei 40 million
☎️ 0757208653