Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


๐Tuna mradi mzuri sana kwaajili ya viwanda( Unaweza kubadilisha matumizi) hapa KIBAHA MADAFU
๐Mradi upo umbali wa 5km kutoka Barabara ya Morogoro road
๐Tayari kuna viwanda viwili Site , hii inakwambia nini?
๐Security ni nzuri
๐Magari makubwa yanapita
๐Umeme upo vizuri
๐Maji yanapatikana kwa kiwango kizuri
๐Ukubwa ni hekari tano tano kwa eneo moja yani SQM 20,000
๐Bei ni 15,000 kwa sqm kwaiyo bei ni MILIONI 300 tu
โ๏ธ0718354943 kutembelea site na kutumiwa mchoro
๐IPS BUILDING, 5th floor, Posta