Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani


Nyumba kubwa ya familia inauzwa Kibaha Mwendapole! Eneo lina ukubwa wa 1,800 sqm ( na 200 meters kutoka Morogoro Road). Bei ni milioni 135. Hapa kuna maelezo mafupi:
��Nyumba ya Kisasa: Ina vyumba vingi na vifaa vya kisasa.
��Eneo Kubwa: Linafaa kwa familia na shughuli nyingine.
��Mazingira Bora: Karibu na barabara kuu na huduma muhimu.
��#Nyumbalnauzwa
��#PropertyForSale
��#RealEstate
��#Kibaha
��#TanzaniaProperty #dalalisosodar #sosodalali