Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
NYUMBA INAUZWA KIBAHA KWA MATHIAS
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 400
BEI MILIONI 38 #MAONGEZI YAPO
VYUMBA 3 VYA KULALA VIWILI VYOTE MASTER BEDROOM KIMOJA NDIO HAKINA CHOO NDANI
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
DINNING KUBWA NA STORE
UMBALI WA KUTOKA MOROGORO ROAD NI KILOMITA TATU NAULI YA BODABODA NI 1500/=
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SERIKALI ZA MITAA (ULASIMISHAJI)
NYUMBA INAANGALIA BARABARA YA MTAA
KUPELEKWA KUKAGUA SITE NI 30,000/=
NYUMBA NI MPYA IMEKAMILIKA NDANI BADO VITU VIDOGO HASA KWA NJE UMEME NA MAJI TAYARI
Contact
#0652472014
#0754344786