Kiwanja kinauzwa Kibaha, Pwani
👉KWA mara nyingine tena nawaletea kazi za bei chee
👉Karibu kwa official Dalal kibaha tz🇹🇿
👉Nyumba ya bei rahis INAUZWA
👉Mahali kibaha kwa mfipa
👉Nyumba INA VYUMBA vitatu vya kulala, chumba KIMOJA ni master bedroom, sebule yenye dinning
👉Ukubwa WA KIWANJA 25x20
Bei million 20,000,000/=
☎️ 0757208653