Kiwanja kinauzwa Kiluvya, Pwani


NYUMBA KALI MNO INAUZWA MILIONI 65
MAHALI ILIPO KILUVYA DAR
YENYE SIFA HIZO
VYUMBA VIWILI KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO,DINNING
NA CHOO PUBLIC
PIA KUNA BOY QUARTER ZA CHUMBA MASTER NA SEBLE X2
ZIMEFIKIA KWENYE RENTA(UNFINISHED)
UKUBWA WA KIWANJA SQM 600 PAMEPIMWA TAYARI(URASIMISHAJI)
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD MITA 800 TU
UMEME NA MAJI YAPO
BEI MILLION 65 TU MAONGEZI!!!
KUONYESHWA NYUMBA 30,000/=