Kiwanja kinauzwa Magengeni, Mtwara


Kimfaacho MTU chake, eneo zuri Sana Sana na linatazama ndege beach road kutokea Boko magengeni bei ni 250m maongezi mezani Sqm 1,558. Uwekezaji wowote mkubwa unaweza kufanyika hata shell, car wash, apartments , shoppers na hata kuishi. Karibu