Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA INAUZWA ##70milioni.
••••••••••••••••
NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA STOP OVER UMBALI WA DK 20 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO MAGUFURI TERMINAL UKIWA UNATOKA MJINI.
----------------------------------
SIFA ZAKE =
NI NYUMBA MOJA YENYE APARTMENT MBILI YA =
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
UMEME LUKU KILA APARTMENT INAJITEGEMEA MITA YAKE.
---------------------------
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA .
ENEO LA NJE LIMEWEKWA ZEGE
UKUBWA WA ENEO =
SQM = 400
BEI MILIONI = 70
----------------
NOTE =
NYUMBA ZINAWAPANGAJI RUKSA KUONA NA KUFANYA BIASHARA
USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA KUTOKA KIMARA STOP OVER NA UNAWEZA UKAPITA KIMARA MWISHO NJIA YA MIGUU MWENDO WA DK 8 KUTOKA KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
PIGA ..
0710614924
0688653940