Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


HII SASA NJOO TU NA PESA NI FOUNDATION YA KUANZIA KAMA UNAVYOONA
NI VYUMBA VITATU SEBULE NA JIKO PUBLIC NA MASTER
LOCATIONI MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI NI KILOMITA 3 KUTOKA STAND
UKUBWA WA ENEO NI MITA KUMI KWA KUMI TU UMILIKI HATI YA MAUZIANO SELEKALI ZA MITAA
BEI TSH MILIONI MBILI NA LAKI SABA
2.700.000/ TSH
MAONGEZI YAPO
SERVICE CHAJI 20000
PIGA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI