Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTIMENT ZINAUZWA ZIPO TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WA KM/ MOJA
KUNAFREM 9 NAZOTE ZINAWAPANGAJI
KUNA VYUMBA TATU KILAMOJA INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA CHUMBA KIMOJA MASTAR KUNASEBULE JIKO KUBWA NA PABLICK TOILET
KILA NYUMBA MOJA IMEPANGISHWA 350/
ENEO LINAUKUBWA WA METER 1200 LIMEPIMWA
LINAHATI
BEI YAKUUZA 250/ MILIONI MAZUNGUMZO KIDOGO YAPO
SEVCHAGE 30,000 KWENDA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347