Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


ENEO LINAUZWA MBEZI BEACH RAINBOW UPANDE WA CHINI
SQM 7,256.
_Viwanja vipo viwili.
_ Vimepakana na lami.
_ Cha kwanza kina SQM 4,183 Ndani kina Godown.
_Cha pili kina SQM 3,073
ndani kina ghorofa.
_ Bei ya eneo lote ni $Million 1.5 Maongezi.
_ Unaweza kununua kimoja....ila inabidi ununue cha nyuma kwanza.
_Viwanja vyote vina hati miliki.
_karibuni sana.
#call 0713872008
visit site 100k