Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani


Eneo lipo dundani kwa kibuguru kabla hujafika mkuranga mwisho linagusa lami,lipo jilan na kiwanda cha kebo na kiwanda cha oil,ukubwa ni eka tano, bei milioni 400 maongez yapo inafaa kwa ajili ya petrol station au kiwanda