Kiwanja kinauzwa Mtoni, Dar Es Salaam


Kiwanja safi kinauzwa
Mtoni kijichi kituo zahanati (Tmk)
Ukitokea ccm km unaend upendo kiko
Mkono wa kulia na ni mita 200 tu
Kutoka ilipo Lami
=======
Aina ya Nyaraka ni hati ya mauziano ya serikali ya mtaa
Bei -Milioni 20
=======
+255 712 445 523